Aliyekuwa
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto
Kabwe, akionekana mwenye wasiwasi mara baada ya Jaji John Utamwa wa
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutoa hukumu katika shauri lake la
zuio la kutaka kutokujadiliwa na Kamati Kuu ya chama hicho, Dar es
Salaam, ambapo katika shauri hilo aliibuka mshindi.
Zitto Kabwe, akipeana mikono na Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lisu ndani ya Mahakama Kuu
Wafuasi wa Zitto Kabwe wakishangilia na kuonesha ishara ya kushinda katika shauri hilo.
Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lisu, akiwatuliza wafuasi wa chama hicho baada ya kushindwa katika shauri hilo na Zitto Kabwe.
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa katika ulinzi mahakamani hapo
Mashabiki
wa Zitto Kabwe, wakishangilia ushindi wake baada ya kuubwaga uongozi wa
Chama chake cha Chadema.Picha Kwa Hisani ya michuzi Blog
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako