Rais
Jakaya Kikwete, akiagana na Makamuwa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim
Seif, baada ya shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Lindi,
zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mmwenyekiti wa Chama cha CUF, Prof
Ibrahim Lipumba, baada ya shughuli za kuagwa mwili wa marehemu Lindi,
zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
Picha na OMRRais
Jakaya Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa
marehemu, John Liundi wakati wa shughuli za kuagwa mwili huo
zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Picha na OMRMakamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, wakitoa heshima
za miwsho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu John Liundi, wakati wa
shughuli za kuagwa mwili huo zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Rais Mstaafu wa awamu ya tatu
Benjamin Mkapa, akielekea kutoa heshim za mwisho. Picha na OMR
Rais
Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, Mwenyekiti wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba mpya, Jaji Joseph Warioba, Makamu
mwenyekiti wa CCM Bara, Philp Mangula na Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera na Uratibu na Bunge) William Lukuvi, wakishiriki Misa maalum
ya kumuombea marehemu John Liundi, wakati wa shughuli za kuagwa mwili
zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Picha na OMRRais
Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, na Waziri wa
Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu na Bunge) William Lukuvi
(kushoto) wakijumuika na waombolezaji katika misa maalum ya kumuombea
marehemu John Liundi, wakati wa shughuli za kuagwa mwili zilizofanyika
kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo. Picha na OMRRais

(kushoto) wakitafakari msiba huo wakati wa shughuli za kuagwa mwili
zilizofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Picha na OMRSehemu ya wanafamilia wakishiriki shughuli hiyo.
Mjukuu wa marehemu, ambaye ni motto wa mtangazaji, Taji Liundi, akisoma wasifu wa marehemu.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako