Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika
jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia
hali leo, Jan 15, 2014. Kulia ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal
(kushoto) ni Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr. Salome Kassanga.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika jengo
la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali
leo. Kushoto ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimjulia hali Waziri wa Kazi na Utumishi wa Umma wa Zanzibar, Haruna
Ali Suleiman, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa
Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali leo. Katikati ni mke wa
Makamu, Mama Zakia Bilal (kushoto) ni Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr.
Salome Kassanga. Picha na OMR Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr. Salome
Kassanga.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako