wazazi watarajiwa Manesh and Jordan wakipata picha ya kumbukumbu
kwenye tafrija ya kutarajia mtoto iliyofanyika Chicago na kuhudhuriwa na
ndugu, jamaa na marariki Baby shower waliyofanyiwa na marafiki zao
Twitwi Lupembe na Celeste.
Manesh aka mama kijacho katika picha ya pamoja na Celeste ambaye ni mmoja ya waandaaji wa tafrija hiyo.
Eric kejo na Manesh aka mama kijacho katika picha ya pamoja.
Kutoka kushoto ni Judith Mhuto, Manesh, Sam Checks na jordan wakipata
ukodak moment kwenye tafrija ya kutarajia mtoto iliyofanyika Chicago,
Manesh aka mama kijacho katika picha ya pamoja na James.
kutoka kushoto ni Ms Lups, Mama Ike, Magge na mama yao wakipata
ukodak moment kwenye tafrija ya kutarajia mtoto iliyofanyika Chicago na
kuhudhuriwa na ndugu, Jamaa na marafiki.
kutoka kushoto ni distinguished gentlemens Muze, Sam, Omar, Deo, Jordan, Dunstan na Joe katika picha ya pamoja.
Omar na mke wake na kadogoo wao katika picha ya pamoja na familia ya Baisi

Kutoka kushoto Jordan, Manesh, Twitwi Lupembe na Gloria Baisi ambaye ni dada wa Jordan aanaeyeishi Ujerumani. kwa picha zaidi bofy soma zaidi
























No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako