POLISI WATUMIA MAJI KUWAONDOA WAFUASI WA CHADEMA MAHAKAMA KUU..! CHEKI HAPA
Jeshi la Polisi lawatawanya wafuasi wa Zitto Kabwe na wafuasi watiifu wa chama cha CHADEMA, waliotaka kupigana baada ya Mahakama Kuu kuhairisha kutoa maamuzi ya kesi iliyofunguliwa na Zitto dhidi ya chama chake.
Credi: Le Mutuz
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako