Mfuko
wa PPF unaendelea na uwekezaji katika miradi ya ujenzi na kwa sasa kuna
jengo kubwa linaendelea na ujenzi wake katika Barabara ya Old Moshi
Jijini Arusha. Jengo hilo ni kwa ajili ya huduma za kibiashara na ofisi
mbalimbali. Jengo hilo linatazamiwa kuonekana kama picha inavyoonesha
pindi likikamilika mwishoni mwa mwaka 2015.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako