Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Mjini Unguja, Borafya Silima, alipowasili kwenye uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Zanzibar leo kwa ajili
ya kuzindua kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo la
Kiembesamaki Zanzibar utakaofanyika leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Katibu wa CCM
Mkoa wa Mjini Unguja, Alhajj Rajab Kundiya, baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo kwa
ajili ya kuzindua kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo la
Kiembesamaki Zanzibar utakaofanyika leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mgombea
Uwakilishi Jimbo la KiembeSamaki CCM Mahmoud Thabit Kombo, alipowasili
kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo
kwa ajili ya kuzindua kampeni za uchaguzi mdogo utakaofanyika leo. Picha
na OMR
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako