Inakwenda week sasa toka mkali wa
bongo
fleva Diamond Platinumz kuonekana kwenye account yake ya Instagram akiwa
na ndinga hili kali V8. Mashabiki wakasema mbona lile gari la kwanza
alivyolinunua tuliona mbwembwe nyingi za picha na kuliita new baby mara
my new toy hili mbona hatuoni hizo mbwembwe? Shabiki mmoja akahoji mbona
akipiga picha na hili gari anakaa katikati na kuziba namba za mwanzo
zisionekane je ni lake kweli au…?
Na mimi ikanibidi kuzifuatilia picha hizo na kweli nikajionea mwenyewe kama hizo picha zinavyoonekana hapo juu hahaaa…
Sina jibu sahihi mpaka nitakapomtafuta na
kutueleza ukweli uko wapi kama ndio new toy au new bby ameingia kwenye
himaya ya Platinumz au la… stay tune dj choka
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako