Naelewa kwa wale warembo wenye usafiri kwao hii imewagusa maana
ukitupia kitu juu ya mwili uliokamilika kila idara roho zina kuwa
kwaaaaatu kuisubiri weekend ifike wakapunguze stress za schedule.
 |
| Dada zetu wa kibongo utawapenda tuuuu kwani nao kwa kutupia ............wamo. |
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako