"Life Jacket 8" kwa Uongozi wa kijiji cha Ilanga/Muze ikiwa ni sehemu ya msaada wa boti na Injini moja kusaidia huduma za afya ya mama wajawazito na wagonjwa mwambao wa Ziwa Rukwa. Msaada huo wenye thamani ya Shilingi Milioni 20 umetolewa na Mfadhili Bi. Adrianne Strong kwa kushirikiana na waumini wenzake wa Kanisa la University United Methodist Church la Washington DC Marekani, Mfadhili huyo alishawishika kutafuta msaada huo baada ya kufika Mkoani Rukwa katika kufanya utafiti na kubaini mambo mengi ikiwemo umbali kati ya wananchi na vituo vya kutolea huduma za afya.
Hapo awali yalifanyika majaribio ya Boti kabla ya makabidhiano rasmi.






Mpango
huo una faida mbili ambapo licha kuwa shamba darasa pia utatibu tatizo
la ukosefu wa chakula mashuleni na hivyo kuongeza mahudhurio na kuongeza
ufaulu kwa wanafunzi. (Na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa @Rukwareview.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako