A

A

Kuwa Wakwanza Kusikiliza Mzigo wa Diamond Platnum alivyotembea Kwenye Beat ya Chege.

diamond 
Zitumie hizi dakika kadhaa kumsikiliza alichokifanya Diamond kwenye hii beat ya Chegge Chigunda ya Uswazi Take away,uongozi wake umetubariki kuwapa watanzania hii kama Exclusive kwenu kuisikiliza hii nyimbo afu tupe  maoni yako hapo chini kwa kucoment.