| |
| Hapa ni baada ya TANESCO kufika eneo la tukio. |
![]() |
| mwili wa kijana huyo aliyefariki kwa shoti ya umeme ukiwa chini |
![]() |
| Mwili wa marehemu ukiwekwa kwenye machela ili kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti ktk hospitali ya Nyerere DDH. |
![]() |
| Panga alokuwa akikatia matawi na viatu vyake. |
![]() |
| Meneja wa Tanesco na Afisa wa jeshi la polisi wakipata maelezo ya jinsi ilivyokuwa. |
![]() |
| Hili ndilo tawi lililodondokea waya wa umeme na kupelekea kifo cha kijana huyo |






No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako