Wasanii wa Tanzania kwa sasa wamekua na mbinu nyingi za kujiongezea
kipato mbali na kipato wakipatacho kwa sasa ambacho ni showz na kuuza
miito ya simu lakini kwa sasa wengi wanajaribu kufikiria upande mwingine
wa kuweza kupata shilingi,Miongoni mwa hao ni Linex.
Linex leo kwenye ukurasa wake wa Facebook ameandika ujumbe ambao unawahusu wachumba wanaotegemea kuoana ambapo yeye katangaza rasmi kujihusisha na utungaji wa nyimbo ambao utakuhusu wewe na mwenzi wako,Ujumbe wake kwenye Facebook ulisomeka hivi.
Hii ni hatua nyingine ya wasanii wa Tanzania kutengeneza soko lingine la muziki kuna wale ambao huwa wanauza T-shirt zenye nembo ya nyimbo zao ambazo huwa mpya au za zamani.
Credit to Millardayo