Itazame hapa video iliyomfanya msanii Jaguar wa Kenya kwenda gerezani.
Kwanza
zilianza kusambaa picha ambazo zilimuonyesha Jaguar akiwa gerezani
ambapo ilifahamika kwamba Jaguar hakua amepelekwa gerezani kwa kosa
lolote la kuvunja sheria bali alikua anafanya video ya single yake mpya
inaitwa ‘Kioo’ ambayo ndio hii hapa chini.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako