Leo January 15 Rich Mavoko kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa taarifa za kusikitisha na marafiki zake wengi wameanza kumpa pole kupitia mtandao huo.
Rich Mavoko ameandika,“R.I.P my Father… amefariki sasa ivi jamaniiii….” pamoja na hii caption amepost picha ya rangi nyeusi.
Pole sana Rich Mavoko na taarifa nyingine zikitoka utazipata hapahapa kupitia habari Kwanza Blog
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako