A

A

Hii ndio sababu ya Kuahirishwa kwa Hukumu ya Pingamizi la Zitto Kabwe kwa KK ya Chadema

Zitto Kabwe Kushoto akiwa na wakili wake, Albert Msando wakitoka Katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, wiki iliyopita siku ya kwanza alipofungua kesi katika mahakama hiyo.

BreakingNEWS: Sababu Kesi ya Zitto Kuahirishwa mpaka Kesho Hii Hapa

Dar es Salaam, Tanzania. Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha kutoan uamuzi HIVI PUNDE na sasa hukumu hiyo itatolewa kesho, saa 8:00 mchana.
Kwa mujibu wa taarifa za mahakama, kesi hiyo imeahirishwa mpaka kesho mchana kwa sababu hakimu anayesikiliza kesi hiyo hajamaliza kuandika hukumu ya kesi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako