A

A

Hii Ndio Hotel Ya Kisasa Mkoani Mtwara na Kusini NZima Ya Tanzania

Ni moja ya Hotel kubwa na bora kabisa Mkoani 
Mwara,ubora wake hauishii tu kwenye mazingira
 mazuri,uzuri wa jengo  lililo kando 
kabisa ya ufukwe mwanana 
wa Bahari ya Hindi ,vyumba na vyakula 
vizuri,lakini pia ukarimu wa hali ya 
juu wa wahudumu wenye tabasamu 
mda wote kuhakikisha unajiskia salama na amani mda wote,vyote
 hivi vimenipa ujasiri wa kukiri kuwa Naf Beach hotel ni 
Hotel Bora kabisa mjini Mtwara....!!!
KARIBU NAF BEACH HOTEL
 Inavyoonekana kwa nje


 Uingiapo na kutoka,unapokelewa na red carpet safi kabisa





 Korido kuelekea bar na mgahawa

 Sehemu ya mgahawa
 Bar

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako