Mpenzi wa Prezzo Stalisha Tillya a.k.a Chagga Barbie
Wakati mapenzi yanaanza kuchanua kati ya Rapcellency Prezzo na mrembo wa kichaga kutoka Tanzania Starlisha Tillya a.k.a Chagga Barbie mwaka jana, wengi tulidhani huenda zile drama zilizojitokeza kwa wapenzi wa rapper huyo waliopita zingepungua au kuisha kabisa, lakini tayari kuna bomu limeshalipuka.Huwa wanasema penzi ni kikohozi sababu kulificha huwezi ndio maana tulishuhudia jinsi mapenzi yalivyokuwa moto moto, na kama ni hivyo pia penzi ni kama chafya yakiharibika si rahisi kuficha cheche za kutoka ndani.
Kupitia Instagram mpenzi wa Prezzo Chagga Barbie leo amevujisha moshi unaofuka ndani ya uhusiano wa wawili hao, kwa kupost ‘private message’ walizokuwa wakichat kabla ya mambo kuharibika.
Alipost picha hii na kuandika, ‘Y nime post baadhi ya chat ni kwasababu umeanza kwa kushare kwa dada zako sasa ntarusha voice note watu wakusikie live ulivyokuwa stupid mwanaume tumamu ha act Kama K*ma kaa wewe, eti hapa ulikuwaukijibabishaaaaa lol unajua hapa nilipokuangalia ndipo nilianza kustuka nikasema huyu babu mwenye rangi za blonde kaa mie nafanya nae nini?’ Ameandika Chagga Barbie muda mfupi uliopita.
Moja ya message hizo inaonesha kuwa Prezzo na mpenzi wake walikuwa wakimjadili Diamond Platnumz ambaye mwaka jana waliwahi kuwa na beef ambayo baadaye iliyeyuka.
Katika post hii Chagga Barbie aliandika: ‘Unatengeneza ma
video yasiyonakiwango Kutwa kumponda Diamond Mara ngapi nimemtetea
huyu kinara wa East Africa usie mkubali wewe unamuita mwenzio sijui
Mwajuma wewe na yeye Nani Mwajuma kaa sio wewe Natafuta namna yakuweka
ur voice notes watu wakusikilize kibuyu wewe @anithakajumbula ndio
kaniomba nijifanye mjinga ni cool off nikuambie yaishe kuma wewe
unaevaaa boxer’Wakati mapenzi yanaanza kuchanua kati ya Rapcellency Prezzo na mrembo wa kichaga kutoka Tanzania Starlisha Tillya a.k.a Chagga Barbie mwaka jana, wengi tulidhani huenda zile drama zilizojitokeza kwa wapenzi wa rapper huyo waliopita zingepungua au kuisha kabisa, lakini tayari kuna bomu limeshalipuka.Huwa wanasema penzi ni kikohozi sababu kulificha huwezi ndio maana tulishuhudia jinsi mapenzi yalivyokuwa moto moto, na kama ni hivyo pia penzi ni kama chafya yakiharibika si rahisi kuficha cheche za kutoka ndani.
Kupitia Instagram mpenzi wa Prezzo Chagga Barbie leo amevujisha moshi unaofuka ndani ya uhusiano wa wawili hao, kwa kupost ‘private message’ walizokuwa wakichat kabla ya mambo kuharibika.
Alipost picha hii na kuandika, ‘Y nime post baadhi ya chat ni kwasababu umeanza kwa kushare kwa dada zako sasa ntarusha voice note watu wakusikie live ulivyokuwa stupid mwanaume tumamu ha act Kama K*ma kaa wewe, eti hapa ulikuwaukijibabishaaaaa lol unajua hapa nilipokuangalia ndipo nilianza kustuka nikasema huyu babu mwenye rangi za blonde kaa mie nafanya nae nini?’ Ameandika Chagga Barbie muda mfupi uliopita.
Moja ya message hizo inaonesha kuwa Prezzo na mpenzi wake walikuwa wakimjadili Diamond Platnumz ambaye mwaka jana waliwahi kuwa na beef ambayo baadaye iliyeyuka.
Katika post hii Chagga Barbie aliandika: ‘Unatengeneza ma
Makombora yaliendelea kutoka kwa mtoto huyo wa Kichaga anayeonekana kuwa na mkwanja wa kutosha.
‘Wewe Serengeti Boy uki beg nikwambie nakupenda ilikuwaje?????’
Katika post nyingine Starlisha ameandika: ‘chaggabarbie Sasa ukibembeleza ni kuwish Happy Bday japo nikupost ilikuwaje? Sasa nitaweka msg zote mpaka ukibembeleza nikununulie hadi Giusseppe Sneakers Ukiomba Nikupe Ticket Mat*ko wewe, mwanaume gani wewe Mario wewe ulifikiri mie nahonga mburula kaaa wewe? Nimezoea kutunzwaaaaa…….siilikuwa Ukiomba nikufichie Siri Kibamia wewe……… ‘
Upande wa Prezzo kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika:
1st they love me then they hate me then they love they love me again…. #MswatiSpeaksHisMindVolumeTwo #TrulyUnruly #Rapcellency.
Mashambulizi kutoka kwa kambi ya Prezzo hayakuishia hapo. Dada yake na Prezzo aitwaye Kay Kivile akamlipua Chagga Barbie kwa picha hii:
Kay Kivila ameandika: Mtu anaweza akawa haongei lakin ndugu zake hawawezi kukubali………… nimeshakatazwa lakin leo sina moyo wa subira ingawa juzi niliuliza kama watu mnasamehe……. Hapo enzi ni baby yake prezzo katoka kufanyiwa operation ya kutoa tumbo, ulizeni hizo hela za shughuli alitoa nan sasa,,, anaeitwa SERENGET BOY ndo alizitoa. Wakati huu unaweza kuwa wakati wa kucheka kiaina kwa Huddah Monroe ambaye kwa kipindi kirefu alinyimwa raha na tambo za mrembo wa kitanzania aishie Marekani, Starlisha Tillya aka Chagga Barbie au The First Lady ambaye alikuwa analimiliki penzi la mfalme wa bling bling Jackson Makini aka Prezzo.
Hali imebadilika sasa na inaonesha dhahiri Starlisha na Prezzo wamepigana chini, na hasira zimemsababisha mrembo huyo amechukua uamuzi wa kupost kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya message za Prezzo alizochart naye zinazomponda mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz.
“Kufanya nyimbo na Davido kalipa $3000 wala davido hajam acknowledge kabisa.” Inasomeka message ya Prezzo, “Kiingereza Shida huh” inasomeka message nyingine, huku mrembo huyo akionesha kushangaa, “Mbona nasikia Davido kamualika!.”
Starlisha amemponda Prezzo na kumwagia maatusi katika post kadhaa na kudai kuwa mkali huyo wa ‘Lighter’ humuita Diamond Mwajuma. “Unatengeneza ma video yasiyo na kiwango Kutwa kumponda Diamond Mara ngapi nimemtetea huyu kinara wa East Africa usiyemkubali wewe unamuita mwenzio sijui Mwajuma wewe na yeye Nani Mwajuma kaa sio wewe. Natafuta namba ya kuweka ur voice notes watu wakusikilize kibuyu wewe.” Yanasomeka maandishi haya kwenye post nyingine iliyomalizika kwa matusi ya makali ya nguoni.
Chagga Barbie amedai kuwa Prezzo amekuwa akimbembeleza amuwish birthday kwa kumpost kwenye mitandao ili aonekane, lakini pia kumuomba ticket na kuomba mrembo huyo amnunulie Sneakers.
Mwaka jana Prezzo aliingia katika beef na Diamond Platinumz kutokana na maandishi ya gazeti moja la Kibongo, lakini Prezzo alimuomba msamaha Diamond aliyetaka aombwe msamaha huo kupitia mitandao ya kijamii kama alivyomponda kupitia mitandao hiyo. Kitu ambacho Prezzo alikiita ‘Utoto’.
Hata hivyo beef hilo liliyeyuka.
credit : times fm
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako