
Kiungo Mkabaji huyo wa Chelsea amefanyiwa Suprise na Bosi wa Chelsea Mrashia Roman Abrahmovic baada ya Kuazimwa Private Jet ya Bosi huyo impeleke Lagos.
Obi nasema"Nilishituka kuona Simu yangu inaita,tena anayenipigia ni Bosi wangu na Mmiliki wa Club ninayoichezea Chelsea.Roman hakuwa na mengine yakuniambia,Aliniambia"Jet yangu ipotayari kwaajili yako kukupeleka Nyumbani Lagos,Hakika nilikaa kimya zaidi ya dakika moja sinachakuongea."