Taarifa ambazo zimetufikia kupitia kituo cha WAPO Radio FM zinaeleza
kwamba kuna bomu limelipuliwa kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Karoli
Ruanga huko USA River jijini Arusha,
ambapo wanakwaya takriban 6 wamejeruhiwa.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, watuhumiwa ni jeshi la Polisi, na kwamba
walirusha kitu kinachosadikiwa kuwa bomu - lililojeruhi 6, ambapo 4 kati
yao wameruhusiwa baada ya matibabu kwenye hospitali ya Mission na ya
Wilaya ya Arumeru.Endelea kusoma zaidi => http://bit.ly/JwRpks
Endelea kuwa nasi.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako