Baada ya Kesi ya Zitto kuahirishwa hii ndo hali ilivyo jioni hii nje ya Mahakama kuu
Leo
ilikua itoke hukumu kwenye kesi iliyopo baina ya Zitto Kabwe na
Chadema,mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imeamua kuhairisha kesi hiyo
mpaka juma tatu ya tarehe 6 Januari sa 4 asubuhi ambapo hukumu juu ya
madai yaliyopo mahakamanu yatatolewa. Baadhi ya picha za nje ya mahakama kuu jioni hii. ]
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako