Mhe. Lowassa akihutubia Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza kabla ya kuongoza harambee
ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa
Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana.
Jumla y Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni
Askofu wa Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa
Dayosisi ya Masasi, Oscar Mnung’u. Na Mpigapicha Wetu 
Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza alipokuwa akiongoza harambee
ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa
Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla y
Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa
Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya
Masasi, Oscar Mnung’u. Nampigapicha Wetu

Rose
Mhando akiimba Mwimbaji wa nyimbo za injili, Rose Mhando akiimba katika
Kanisa Kuu la Aglikana Dayosisi ya Mtandi Masasi wakati wa harambee ya
kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika kanisani hapo
juzi.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwaaga waumini wa Kanisa la Anglikana
Dayosisi ya Mtandi Masasi baada ya kumaliza kuendesha harambee ya
kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu
la dayosisi hiyo, juzi. Jumla ya Sh103 milioni zilichangishwa katika
harambee hiyo. Na Mpigapicha Wetu
Na Mpigapicha Wetu
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako