Wimbo Mpya: Dayna Nyange- Mimi na Wewe
Wimbo Mpya: Dayna Nyange- Mimi na Wewe
posted 1 day ago by admin
Mkali wa 'Nivute Kwako', Dayna Nyange alisafiri kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza maeneo ya Ilemela na kufanya ngoma na mtayarishaji wa muziki anayefanya vizuri kutokea Mwanza ‘Tidd Hotter’.
Safari ya Dayna imezaa ngoma hii mpya iliyopewa jina la ‘Mimi na Wewe’ kutoka katika studio za One Love FX.
Isikilize hapa:
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako