Miamba pembezoni mwa ziwa nyasa
Safu ya milima ya livingstone iliyoko mwambao wa ziwa nyasa
Miamba iliyoko kata ya Lumbila ambako kihistoria ni wilaya ya kwanza kwa wakoloni iko wilaya ya Ludewa
miamba ambayo ni vivutio kwa watalii wilayani ludewa mwambao wa ziwa nyasa
Hii
ni moja ya miamba inayopatikana ziwa nyasa ambayo ni vivutio vya
watalii,maeneo haya ni mazalia ya samaki ambapo wavuvi wengi hupenda
kuvua kutokana na upatikanaji mkubwa wa kila aina ya samaki.

Safu ya milima livingstone iliyoko wilaya ya Ludewa






No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako