Wakazi wa jiji la Mwanza wamezidi kujipatia elimu ya ujasiriamali,
vitabu na CD za Eric Shigongo na James Mwang'amba katika Tamasha kubwa
la Ujasiriamali linalofikia kikomo leo jijini Mwanza. Tamasha hilo
lilianza juzi (Ijumaa) ambapo walimu wa ujasiriamali Shigongo na
Mwang'amba wametoa mbinu kwa watu wa Mwanza jinsi ya kuwa wajasiariamali
mahiri.
Maelezo pamoja picha iliyopachikwa hapo juu na nyinginezo hapo chini ni kutoka kwa CHANDE ABDALLAH na DENIS MTIMA / GPL, Mwanza
Maelezo pamoja picha iliyopachikwa hapo juu na nyinginezo hapo chini ni kutoka kwa CHANDE ABDALLAH na DENIS MTIMA / GPL, Mwanza
Umati wa watu uliohudhuria Tamasha kubwa la Ujasiriamali linalofikia kikomo leo ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Wasanii chipukizi wa kizazi kipya wakitoa burudani katika tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako