Wachezaji
wa timu ya soka ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars', Himid Mao mbele
na Elias Maguri nyuma wakiteremka kwenye ndege ya RwandaAir baada ya
kufika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es
Salaam jioni ya jana wakitokea Nairobi, Kenya walikokuwa wakishiriki
Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge ambako
walishika nafasi ya nne, huku wenyeji, Kenya 'Harambee Stars' wakitwaa
ubingwa.
Wachezaji wakisubiri kukamilisha taratibu za Uhamiaji.
Mrisho Ngassa akifanyiwa taratibu za Uhamiaji.
Kocha Mkuu, Mdenmark Kim Poulsen akiwa JNIA baada ya kuwasili.
PICHA NA BINZUBEIRY.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako