Yaw Berko akisaini mkataba mbele ya Mwenyekiti wa kamati ya Usajili Zacharia Hans Poppe.
Golikipa wa zamani wa Yanga raia wa
Ghana Yaw Berko amesaini mkataba wa miezi sita kuitumikia klabu ya Simba
ya jijini Dar Es Salaam.
LOGARUSIC ASAINI MKATABA WA MIEZI SITA KUIFUDISHA SIMBA.
LOGARUSIC akisaini mkataba mbele ya Mwenyekiti wa kamati ya usajili,Zacharia Hans Poppe
|
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako