PICHA:MWANAMITINDO NAOMI COMPBELL ATIRIRIKA MACHOZI MBELE YA JENEZA LA NELSON MANDELA
Wanajeshi wameubeba mwili wa hayati Mandela kuelekea ofisi za serikali jijini Pretoria.
Mwanamitindo wa Uingereza, Naomi Campbell mbele ya jeneza la mwili wa Mandela.
Mwanamitindo wa Uingereza, Naomi Campbel (kushoto)
Wananchi wakishuhudia msafara wa mwili wa Mandela mitaani.
Jeneza likiwa limefunikwa bendera ya Afrika Kusini.
PICHA ZOTE NA DAILYMAIL
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako