Waziri Mkuu Msaafu Mh.Edward Lowassa akibadilishana mawazo na Mkuu wa
Majeshu Msaafu Jenerali David Masuguri walipokutana jana VIP LOUNGE
Uwanja wa Ndege Dsm.
Jenerali Musuguri ndiye aliongoza majeshi ya Tanzania kwenye Vita dhidi ya Uganda na alijulikana kama Mti Mkavu kutokana na namna alivyoweza kuwadhibiti wanajeshi wa Uganda na hatimaye Kumng`oa Dikteta Idd Amini Nduli Dada.

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako