A

A

Halima Kimwana aoga Fedha kwenye Party yake ya Kuzaliwa,Platnum afanya mambo

PICHA:BIRTHDAY PARTY YA DADA YANGU HALIMA KIMWANA

 Jana ilikuwa ni siku mhimu kabisa kwa dada 
yangu mpenzi,Halima Kimwana,ni siku aliyotimiza miaka
 kadhaa tangu azaliwe..Party yake ilifanyika maeneo ya Business Victoria na mimi
 kama Kaka ake na mtu wake wa karibu nikiongozana
 na baadhi ya watu wangu wa WCB Qboy msafi
 na Kifesi ,na   wanamziki wenzangu..
akiwemo Shettah.Nay true boy,Ommy Dimpoz,Chegge na 
wengineo tulijumuika pamoja na invited 
waliokuwepo kutoa sapoti kwa dada yetu...
 Njiani.........




 With Omary Nyembo,Omy Dimpoz.......!!


 Qboy na Shettah
 Halima Kimwana na Mdogo wake Minaababy......!!!
 Dada lao,Queen darleen
 Dada yangu mpenzi..Esma




 Mc ......!!
Ha ha h ah Dada angu Darleen,hajawahi isha vituko huyu








 Mida ya Cake......!!








































 Hii shughri ilikuwa ikinihusu moja kwa
 moja,nisingewea toka pasipo kutoa burudani japo kidogo...














No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako