Picha,Baada ya Kuondolewa Nyasi zote,Uwanja wa Sokoine Waanza kupandwa Nyasi
Ndugu
mashabiki huu ndio muonekano wa Uwanja wa sokoine nyasi nzuri na laini
zinaendelea kupandikizwa uongozi unawashukuru wote kwa ushirikiano
mnaoutoa katika kukamilisha shughuli nzima tunasisitiza kuwa hakuna
mechi itakayohamishwa mechi zote za mzunguko wa pili zitachezwa kwenye
uwanja huu MUNGU awabariki sana.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako