A

A

PICHA TATU ZA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA MUDA HUU HANANG KATESH

Ajali mbaya!
Hivi Punde maeneo ya Maskaroda Hanang Katesh Ikihusisha Basi LA Abiria Kampuni ya Mgamba na Mama Mtembea kwa Miguu.Hatujapokea taarifa za kifo,Licha ya abiria wengi kuumia Vibaya.Tutawajia hivi punde

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako