A

A

Picha Okwi akisaini Yanga,Ataanza Jumapili kwenye Mechi ya Simba Vs Yanga


OKWI (KATIKATI) AKISAINI MIAKA MIWILI NA NUSU KUICHEZEA YANGA MBELE YA MWANASHERIA NA MJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI YA NYANGA, KATABARO (KUSHOTO). OKWI ALIYEKUWA KIPENZI CHA WANASIMBA, SASA NI MALI YA YANGA NA TAYARI ITC IMEISHATUA NCHINI, HUENDA AKAANZA KUONEKANA UWANJANI KATIKA MECHI YA NANI MTANI JEMBE.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako