A

A

Picha 7 za utengenezaji wa video mpya ya Chapa nyingine kutoka kwa Chege Chigunda


cChege yupo kwenye maandalizi ya video yake mpya ya wimbo wa Chapa nyingine ikisimamiwa na
director Adam Juma.
Kwenye hiyovideo kuna watu kama Madee,Temba,Dimaond, Najma, Romie Jones na wengine wengi lakini kwa sasa enjoy kuangalia hizi picha tukisubili hiyo video kupitia AyoTV
a5
a7
a8
a1
a2
a3
a4


No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako