A

A

NEW YORK TANZANIA TEAM WAJIFUA TAYARI KWA MCHEZO WA JUMAMOSI NA TEAM YA NEW ENGLAND UMOJA YA SPRINGFIELD BOSTON


New York Tanzania Team wakijifua tayari kwa kutaka kuwafundisha soccer team ya Umoja. Mchezo huo utafanyika siku ya sherehe ya Uhuru  wa Tanganyika ndani ya jiji la New York. Team zote zinatambiana kila upande unajigamba kutoa kipigo kwa mpinzani wake.
Hapa mikakati ikipangwa jinsi ya kutoa kipigo kwa New England Umoja vijana wako moto 
Team imejipanga vilivyo kila idara tayari kwa mchezo huo wa jumamos hii ya Tar...7
Bilal Jr akijiweka sawa baada ya mazoezi tegemeo la timu pale mbele, Boston wanakazi ya ziada kwake.
Captain wa timu Mubarak aka itokee tuu akiongea machache baada ya mazoezi.
Aviator Sports and Events Center mchezo huo utachezewa hapa.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako