Msimamizi wa bodi ya michezo ya
kubahatisha Humudi Abdulhussein(kulia)pamoja na Afisa huduma za ziada wa
Vodacom Rashid Maggid(kushoto)wakioneshwa namba ya simu na Meneja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(katikati)wakati
wakichezesha droo kubwa ya mwezi ya “Timka na BodaBoda” ambapo Mkazi wa
njiro Mkoani Arusha Bi.Haika Mosha,alijishindia shilingi Milioni 10 pesa
taslimu na Rashid Kagomba Mkazi wa Kagera alinyakulia shilingi Milioni
tano kwa kuwa mshindi mwenye pointi nyingi wa wiki.kujiunga na
promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom
Tanzania,Bw.Matina Nkurlu akionesha namba ya simu kwa waandishi wa
habari(hapo pichani)ya mshindi wa droo kubwa wa mwezi katika Promosheni
ya”Timka na Bodaboda”ambapo Mkazi wa njiro jijini Arusha Bi.Haika Mosha
alijinyakulia kitita cha shilingi Milioni 10 na Mkazi wa Mleba Kagera
Bw.Rashid Kagomba alijishindia shilingi Milioni tano kwa kuwa mshindi
mwenye pointi nyingi wa wiki,wanaoshuhudia kushoto ni Afisa huduma za
ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya
michezo ya kubahatisha Humudi Abdulhussein, kujiunga na Promosheni hiyo
tuma neno Promo kwenda 15544.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom
Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa
habari(hawapo pichani)wakati wa kuchezesha droo kubwa ya mwezi ya
Promosheni ya “Timka na BodaBoda” ambapo Mkazi wa njiro jijini Arusha
Bi.Haika Mosha alijinyakulia kitita cha shilingi Milioni 10 na Mkazi wa
Mleba Kagera Bw.Rashid Kagomba alijishindia shilingi Milioni tano kwa
kuwa mshindi mwenye pointi nyingi wa wiki,wanaoshuhudia kushoto ni Afisa
huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa
bodi ya michezo ya kubahatisha Humudi Abdulhussein, kujiunga na
Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako