A

A
MNUSO WA PAMOJA KUSHEREHEKEA uhuru wa Kenya na Tanzania ndani ya Luton - Uingereza
Monday, December 16, 2013 9:45 PM
Taswira Kwa niaba ya watanzania na Wakenya Luton Uingereza na kwa kushirikiana na Wenzetu wa Uganda, Burundi na Rwanda kama wana Jumuiya Afrika Mashariki katika sherehe za uhuru wa Tanzania na kenya zilizofanyika hapa Luton Jumamosi tarehe 14/12/13


“DJ DOUBLE T” MKONGWE WA MUZIKI WA TZ , EAST AFRICA, AFRICA NA NGOMA KALI ZA MAGHARIBI HAPA UINGEREZA AKICHANGANYA BEATS NA KATIBU WA LUTON TANAZANIAN COMMUNITY NDUGU ABRAHAM SANGIWA KATIKA SHEREHE ZA UHURU TANZANIA (52YRS) PAMOJA NA KENYAN(50YRS) HAPA UK.
DJ DOUBLE T AKIKONGA NYOYO ZA WANA EAST AFRICA



WADAU WA EAST AFRICA KWENYE MNUSO WAO
DJ KAZINI

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako