A

A

Misa takatifu kwa lugha ya kiswahili kuadhimisha miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania imeahirishwa mpaka hapo itakapotangazwa tena


Wapendwa Wote

Ile Misa takatifu kwa lugha ya kiswahili kuadhimisha miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania na Jubilee ya Dhahabu (Golden Jubilee) ya Uhuru wa Kenya, haitafanyika leo kama ilivyopangwa kutokana na sababu zisizozuilika Padri Leandry Kimario, Padri Shao wanaomba radhi kwa usumbufu wote utakaotoke. Misa nyingine itatangazwa siku nyingine mara muda utakapowadia. ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio
Asante sana  
Pd Evod Shao

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako