A

A

Mchagga wa asili anafahamu kazi ya mashine hii...


...ina uhusiano na matunda ya mbuni ambayo ni kiungo cha kinywaji kinachopendwa na kunyweka sana duniani.
Bofya picha moja moja kuzikuza kwa muonekano wa karibu zaidi.

Shukurani ya picha kutoka kwa mdau aliyeko likizoni Moshi, Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako