A

A

MASHABIKI YANGA WASHINDA AIRPORT WAKIMSUBIRI OKWI BADALA YAKE WAJIKUTA WAKIMPOKEA BEKI WA SIMBA GILBERT KAZE





MASHABIKI kadhaa wa Yanga leo wameshinda Uwanja wa Ndege wakisubiri kumpokea Emanuel Okwi lakini hakutokea badala yake walijikuta wakimpokea beki wa Simba Gibert Kaze.
Mashabiki hao walifika uwanjani hpo wakiwa na jezi iliyoandikwa jina la Okwi kwa ajili ya kumkabidhi lakini waliishia kuikunja na kurudi nayo baada ya mchezaji huyo kutokufika.

BEKI WA SIMBA GILBERT KAZE ALIWASILI, NAKWEANDA MOJA KWA MOJA KAMBINI ZANZIBAR






Credit.lenzi ya michezo

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako