Makomando wamefanya interview na sammisago.com kuhusu ujio wa video yao
mpya nakusema kuwa Mavazi, Swag na Muonekano wa video yao ni tafauti
sana na hawajawahi kufanya kitu kikali kama hichi. Video itatoka kwenye
screen yako ndani ya wiki chache zijazo.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako