Haya ndiyo mabaki ya gari aina ya ferrari iliyomuua Paul Walker siku
ya jumamosi huko Santa Clarita California. Paul walker ni star wa movie
aliefariki akiwa na umri wa miaka 40, wapenzi wa movie wata mkumbuka
hasa pale watakavyokuwa wanaangalia movie aliyo cheza akiwa pamoja na
akina Tyrese naVin Diesel.
Hapa ni Paul Walker, Vin Diesel na Tyrese wakiwa kwenye movie premiere uko Leicester Square, London mwaka huu.
Tyrese alishindwa kujizua kutoa machozi baada ya kufika sehemu ambayo
ajali iliyotoa uhai wa Walker ilitokea huko Santa Clarita California.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako