Muda huu mapokezi mazito ya Mbunge wa Kigoma kaskazini Mh
Zitto Kabwe yanaendelea kuelekea Viwanja Kiganamo hapa Kasulu,Mapokezi
ni mazito sana,hakika amefutilia kabisa nyayo za Slaa ambaye alipigwa
mawe na Wananchi hapa Kasulu akakimbia na Mkutano kuvunjika.Kutoka
Kigoma Mjini hadi KASULU ni KILOMITA 95,Lakini Zitto anakubalika KASULU
kuliko hata Mbunge wa NCCR ndio maana Slaa alishughulikiwa kwa sababu
anaua Kipaji cha Kijana wao,Mbunge wao,mwanasiasa machachari zitto
Zubery Kabwe
Huu ni mwendelezo wa Kuzungumza na Wanakigoma hususani mwenendo wa Siasa zake ZItto Kabwe ndanai ya CHAMA,Mabilioni ya Uswis na Nguvu ya mafisadi wanavyotaka kuhodhi hoja hiyo,Pia yeye akiwa Mbunge wa Kigoma ni haki yake ya msingi kabisa anaitumia kutoa taarifa ya kile kinachoendelea dhidi yake hususani Kuvuliwa Vyeo vyake ndani ya chama bila kufuata misingi ya katiba ya chama(Kupewa Mashitaka kabla,Kuhojiwa Kabla,Lakini kinyume chake amehukumiwa ndipo Mashitaka yakafuata na anaambiwa ahojiwe).
Mamia ya Wananchi wameshafika kwenye viwanja hivi vya Kiganamo tayari kwaaajili ya kupokea msafara za Mh.ZItto ukiwa na zaidi ya pikipiki 130,na kwa muda huu yupo ofisi za chama hapa Kasulu kwaajili ya kusaini kitabu cha wageni.
Mh.Zitto Kabwe akiwashukulu sana Wanakasulu kwa namna walivyojitokeza kwenye mapokezi hapa kasulu
Ni maelfu ya Wananchi wapo kwenye maandamano ya kumpokea Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh.Zitto kabwe.
Picha inazungumza wazi namna Msafara ulivyomkubwa sana na umejaa vijana,akina mama na wazee pamoja na watoto wanaotoa sapoti ya kutosha kwa MH.Zitto Kabwe
Maduka Yamefunga watu wote wanaelekea eneo la Mkutano,Hii ni wazi Zitto ni mtu wa watu,Ni mbunge anayekubalika Kigoma na Tanzania
nn
Ushishangae kuona kwenye msafara huu Mkubwa hapa Kasulu Pia hakuna Bendera za chadema,zaidi utaiona moja moja,Ni kwasababu wanakigoma wanasema "ZITTO NI MBUNGE WA KITAIFA,MTETEZI WA WATANZANIA,ZITTO KWANZA,CHADEMA BAADAE"
Mambo yapo hivi hapa Kasulu
Waandishi wa habari pia wapo wengi sana kwaajili yakuchukua matukio na habari
mm
\mm
j
Asanteni wanakigoma
Moja ya Mbango katika mapokezi ya Mh.Zitto Kabwe hapa Kasulu alipopigwa mawe Dr.slaa na kukimbia
Vijana wanatoa sapoti ya Kutosha kwa Mbunge wao zitto
UJUMBE WA CHADEMA"Demokrasia Itashshinda Dhidi ya UHAFIDHINA"
Vijana wakiwa wamejipanga kumpokea Zitto kwenye Vijiji vya Kwanza Kwanza kabla huja fika Kasulu Mjini KM.2 nyuma.
Mambo ndio haya,Wanasema NABII HAKUBALIKI KWAO? Zitto ametikisa Kigoma

Credit Jamiiforum
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako