Mheshimiwa
Rais ametia sahihi Hati ya Dharura (Certificate of Emergency) kufanyika
marekebisho kwa Muswada wa Fedha wa mwaka 2013 kuondoa tozo ya kodi kwa
laini za simu (SimCard Tax). Asante Mheshimiwa Rais.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako