A

A

Kama una hii pesa unaweza kuishi kwenye hii nyumba ya Gareth Bale.


1Mkali huyu wa soka mwenye umri wa miaka 24 ambae ameihama Tottenham Hotspur na kujiunga na Real Madrid hivyo ameamua kuiuza nyumba yake ya vyumba vitano iliyopo Uingereza kwa £2.2million ili akaanze maisha mengine huko Madrid.
2
3Hii ndio ilikua sebule yake bwana Bale.
4
5
6
7


No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako