JIJI LA MBEYA LAAMUA KUWAFUKUZA BARABARA KUU WAFANYABIASHARA(MACHINGA)
JIJI
la Mbeya, limetangaza leo kuwa ndani ya siku 14 kuanzia leo,
wafanyabiashara wanaouza bidhaa zao kando kando ya barabara kuu,
wanatakiwa kuondoka na kuelekea eneo la lililopangwa.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako