A

A

Hii Picha ilinaswa jana Bungeni,Mbunge akiangalia Picha za namna watu walivyouawa


Mbunge wa Nkenge, Assumpter Mshama akitazama picha za watu waliouawa kupitia runinga za bungeni, wakati wabunge walipokuwa wakijadili taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuhusu tathmini ya matatizo yaliyotokana na Operesheni Tokomeza Ujangili, iliyowasilishwa bungeni Dodoma jana. Picha na Emmanuel Herman.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako