A

A

Hawa ndio wanasoka watatu watakao wania tuzo ya Fifa Ballon D’or

b
Baada ya list ya wachezaji zaidi ya 20 kutangazwa kuwa mmoja kati yao atashinda tuzo kubwa sana kwenye soka ambayo si nyingine bali ni Fifa Ballon D’or.
Ifikapo January 13 kwenye jiji la Zurich jumuiya ya soka itakutana kumtangaza mrithi wa Lionel Messi ambaye ndiye anashikilia award hiyo kwa kunyakua mwaka 2013.
Frank Ribery ,Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ndiyo majina matatu ya mwisho kutangazwa kuwania tuzo hiyo baada ya mchujo kufanyika kutoka kwenye list ndefu ya wachezaji zaidi ya 20.
Mapema mwaka 2014 mshindi kati ya hawa watatu atachukua tuzo hii yenye heshima kubwa sana katika ulimwengu wa soka.
BallonPX


No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako