A

A

BASI LAPATA AJALI MBAYA MAKETE--UKINGA EXPRESS


Muonekano wa basi la Ukinga Express lenye namba za usajili T 522 CCK kama linavyoonekana mara baada ya kupata ajali usiku wa kuamkia leo eneo la Lwamadovela kata ya Tandala wilayani Makete. 
Fuso iliyogongwa kwa nyuma na basi la Ukinga Express 

basi la Ukinga express linavyoonekana kwa nyuma

mashuhuda wakiangalia basi hilo lilivyoumia baada ya kugonga fuso kwa nyuma

Credit: edwinmoshi.com

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako