Baadhi ya wananchi wakiwemo wanawake wa mtaa Matuli uliopo Kata ya
Bigwa, nje mji wa Morogoro , wakibeba mabomba ya usambazaji maji ‘ na
saruji ili kuvifikisha kwenye chanzo cha maji kilichopo juu ya milima
ya
Uluguru, vifaa hivyo vilitolewa na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood, ( kati kati ya akina mama ) .
( Picha na John Nditi).
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako